product.title

Kitabu cha KUPANDA kanisa: Church PLANT Manual, Swahili Edition

Tangu 2016, World Impact Imetayarisha na kufundisha mamia ya timu za wapanda Makanisa ili kutengeneza mkakati wenye muktadha wa kipekee wa huduma zao Kimataifa na ndani ya Marekani. Kitabu cha KUPANDA kanisa ni rasilimali ya matayarisho ya Shule ya Uinjilisti ya Upandaji makanisa mjini.

Hii rasilimali iliyojengea kwenye kanuni imeandaliwa ili kusaidia timu za wapanda makanisa kuendeleza mpango Mkakati kwa ajili ya muktadha wao maalum na mahitaji, Iwe wanapanda kanisa jipya, kuandaa kupanda upya (Kuanza tena, Kulipatia uhai, au Kulizindua upya) Kanisa lililopo, Kutafuta mwendo wa kukirithisha kizazi kijacho cha Uongozi wa Kichungaji, au kubuni Vuguvugu la Upandaji makanisa.